Agano la Kale

Agano Jipya

Wimbo Ulio Bora 6:11-13 Biblia Habari Njema (BHN)

11. Nimeingia katika bustani ya milozikutazama machipuko ya bondeni,kuona kama mizabibu imechanua,na mikomamanga imechanua maua.

12. Bila kutazamia, mpenzi wangu,akanitia katika gari la mkuu.

13. Rudi, rudi ewe msichana wa Mshulami.Rudi, rudi tupate kukutazama.Mbona mwataka kunitazama miye Mshulamikana kwamba mnatazama ngomakati ya majeshi mawili?

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 6