Agano la Kale

Agano Jipya

Wimbo Ulio Bora 4:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Hakika u mzuri ewe mpenzi wangu,hakika u mzuri!Macho yako ni kama ya huanyuma ya shela lako,nywele zako ni kama kundi la mbuziwashukao katika milima ya Gileadi.

2. Meno yako ni kama kondoo majike waliokatwa manyoyawanaoteremka baada ya kuogeshwa.Kila mmoja amezaa mapacha,na hakuna yeyote aliyefiwa.

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 4