Kama mtofaa kati ya miti ya msituni,ndivyo alivyo mpenzi wangu kati ya wavulana.Nafurahia kuketi chini ya kivuli chake,na tunda lake tamu sana kwangu.