Hebu niambie ee wangu wa moyo,utawalisha wapi kondoo wako?Ni wapi watakapopumzikia adhuhuri?Kwa nini mimi nikutafutekati ya makundi ya wenzako?