Agano la Kale

Agano Jipya

Walawi 26:33 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitawatawanya nyinyi miongoni mwa watu wa mataifa na kuchomoa upanga dhidi yenu. Nchi yenu itakuwa ni ukiwa na miji yenu uharibifu.

Kusoma sura kamili Walawi 26

Mtazamo Walawi 26:33 katika mazingira