Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 2:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini kila mara mwamuzi alipofariki walirudia mienendo yao ya zamani, wakaishi vibaya kuliko babu zao. Waliifuata miungu mingine, wakaitumikia na kuisujudia, wala hawakuyaacha matendo yao wala ukaidi wao.

Kusoma sura kamili Waamuzi 2

Mtazamo Waamuzi 2:19 katika mazingira