Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 16:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Delila akamwambia Samsoni, “Samsoni! Wafilisti wanakuja kukushambulia!” Samsoni akaamka usingizini huku akifikiri kwamba atatoka na kujiokoa kama hapo awali. Kumbe hakujua kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwacha.

Kusoma sura kamili Waamuzi 16

Mtazamo Waamuzi 16:20 katika mazingira