Agano la Kale

Agano Jipya

Waamuzi 15:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Samsoni akawaambia hao Wafilisti, “Kama hayo ndiyo mliyoyafanya, naapa kwamba sitaondoka mpaka nimelipiza kisasi.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 15

Mtazamo Waamuzi 15:7 katika mazingira