Siku hiyo ya saba, kabla ya jua kutua, wakamwambia Samsoni,“Ni kitu gani kitamu kuliko asali?Ni nani mwenye nguvu kuliko simba?”Samsoni akawajibu, “Kama hamngejishughulisha na mtamba wangu hamngeweza kukitegua kitendawili changu.”