Agano la Kale

Agano Jipya

Nehemia 9:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Ukawapa roho yako njema kuwashauri;ukawapa mana kuwa chakula chao na maji ya kunywaili kutuliza kiu chao.

Kusoma sura kamili Nehemia 9

Mtazamo Nehemia 9:20 katika mazingira