Agano la Kale

Agano Jipya

Nehemia 7:55-61 Biblia Habari Njema (BHN)

55. wa Barkosi, wa Sisera, wa Tema;

56. wa Nezia na ukoo wa Hatifa.

57. Koo za wazawa wa watumishi wa mfalme Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: Ukoo wa Sotai, wa Soferethi, wa Perida;

58. wa Yaala, wa Darkoni, wa Gideli;

59. ukoo wa Shefatia, wa Hatili, wa Pokereth-hasebaimu na ukoo wa Amoni.

60. Basi wahudumu wote wa hekalu na wazawa wa watumishi wa Solomoni, waliorudi kutoka uhamishoni, walikuwa 392.

61. Watu wa miji ifuatayo, nao walirudi: Wa Tel-mela, wa Tel-harsha, wa Kerubu, wa Adoni na wa Imeri; ila haikuwezekana kuthibitisha kama walikuwa wazawa wa Waisraeli

Kusoma sura kamili Nehemia 7