53. wa Bakbuki, wa Hakufa, wa Harhuri;
54. wa Baslithi, wa Mehida, wa Harsha;
55. wa Barkosi, wa Sisera, wa Tema;
56. wa Nezia na ukoo wa Hatifa.
57. Koo za wazawa wa watumishi wa mfalme Solomoni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: Ukoo wa Sotai, wa Soferethi, wa Perida;
58. wa Yaala, wa Darkoni, wa Gideli;
59. ukoo wa Shefatia, wa Hatili, wa Pokereth-hasebaimu na ukoo wa Amoni.