Agano la Kale

Agano Jipya

Nahumu 3:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Ole wako mji wa mauaji!Umejaa udanganyifu mtupu na nyara tele,usiokoma kamwe kuteka nyara.

2. Sikia! Mlio wa mjeledi,mrindimo wa magurudumu,vishindo vya farasina ngurumo za magari!

3. Wapandafarasi wanashambulia,panga na mikuki inametameta;waliouawa hawana idadi,maiti wengi sana;watu wanajikwaa juu ya maiti!

Kusoma sura kamili Nahumu 3