Agano la Kale

Agano Jipya

Mika 5:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)

14. Nitazing'oa sanamu za Ashera kutoka kwenu,na kuiangamiza miji yenu.

15. Kwa hasira na ghadhabu yangu,nitalipiza kisasi mataifa yote yasiyonitii.”

Kusoma sura kamili Mika 5