Agano la Kale

Agano Jipya

Mhubiri 9:8-10 Biblia Habari Njema (BHN)

8. Vaa vizuri, jipake mafuta kichwani.

9. Furahia maisha pamoja na mke wako umpendaye muda wote wa maisha yako ya bure ambayo Mungu amekujalia hapa duniani; maana hilo ndilo ulilopangiwa maishani, katika kazi zako hapa duniani.

10. Kila unachotaka kufanya kifanye kwa nguvu zako zote, maana, hakuna kazi, wala wazo, wala maarifa, wala hekima huko kuzimu unakokwenda.

Kusoma sura kamili Mhubiri 9