Agano la Kale

Agano Jipya

Malaki 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Ni lazima mniheshimu mimi kwa matendo yenu, msiponisikiliza nitawaleteeni laana, vitu vyote mnavyopewa kwa mahitaji yenu nitavilaani. Na kweli nimekwisha kuvilaani, kwa sababu hamuyatilii maanani maagizo yangu.

Kusoma sura kamili Malaki 2

Mtazamo Malaki 2:2 katika mazingira