Agano la Kale

Agano Jipya

Malaki 2:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Je, Mungu hakuwafanya nyote wawili muwe mwili mmoja na roho moja? Je, alikusudia nini alipofanya hayo? Yamkini alikusudia tuzae watoto ambao watamcha yeye. Kwa hiyo, hakikisheni kuwa hakuna hata mmoja wenu anayekosa uaminifu kwa mkewe.

Kusoma sura kamili Malaki 2

Mtazamo Malaki 2:15 katika mazingira