Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 5:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Baadaye, Mose na Aroni walimwendea Farao, wakamwambia, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli anasema hivi, ‘Waache watu wangu waondoke, wakanifanyie sikukuu jangwani.’”

Kusoma sura kamili Kutoka 5

Mtazamo Kutoka 5:1 katika mazingira