Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Siku moja, Mose alikuwa anachunga kundi la kondoo la baba mkwe wake, Yethro, kuhani wa Midiani. Mose alilipeleka kundi hilo upande wa magharibi wa jangwa, akaufikia mlima Horebu, mlima wa Mungu.

Kusoma sura kamili Kutoka 3

Mtazamo Kutoka 3:1 katika mazingira