Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 23:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtanitumikia mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nami nitawabariki kwa chakula na maji na kuyaondoa magonjwa kati yenu.

Kusoma sura kamili Kutoka 23

Mtazamo Kutoka 23:25 katika mazingira