Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 13:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Mose aliichukua mifupa ya Yosefu kama Yosefu alivyoagiza kabla ya kufa kwake. Alikuwa amewaapisha rasmi Waisraeli akisema, “Mungu atakapowajia kuwatoa nchini humu, ni lazima mwichukue mifupa yangu kutoka hapa pamoja nanyi.”

Kusoma sura kamili Kutoka 13

Mtazamo Kutoka 13:19 katika mazingira