Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 32:30-33 Biblia Habari Njema (BHN)

30. Mtu mmoja anawezaje kuwashinda watu 1,000,au watu wawili wanawezaje kuwashinda watu 10,000,isipokuwa kama Mwamba wao amewatupa,Mwenyezi-Mungu wao amewaacha?

31. Hata adui zetu wenyewe wamekiri wazi,mwamba wao hauna nguvu kama mwamba wetu.

32. Maana mizabibu yao ni miche ya Sodomazimetoka katika konde za Gomora;zabibu zake ni zabibu zenye sumu,vishada vyake ni vichungu.

33. Divai yao ni kama sumu ya nyoka,ina sumu kali ya majoka.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 32