Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 53:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, nitamweka katika cheo cha wakuu,atagawa nyara pamoja na wenye nguvu;kwa kuwa alijitolea mwenyewe kufa,akawekwa katika kundi moja na wakosefu,alizibeba dhambi za watu wengi,akawaombea msamaha hao wakosefu.”

Kusoma sura kamili Isaya 53

Mtazamo Isaya 53:12 katika mazingira