Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 53:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Mungu asema:“Baada ya kutaabika sana,mtumishi wangu atafurahi.Kwa kuwajibika kwake kikamilifu,atatosheka na matokeo hayo.Kwa maarifa yake mtumishi wangu mwadilifuatawafanya wengi wawe waadilifuYeye atazibeba dhambi zao.

Kusoma sura kamili Isaya 53

Mtazamo Isaya 53:11 katika mazingira