Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 44:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Enyi watu wangu, msiogope wala msiwe na hofu,Je, sikuwaambia tangu zamani mambo yatakayotokea?Nyinyi ni mashahidi wangu.Je, yuko Mungu mwingine ila mimi?Je, kuna mwenye nguvu mwingine?Huyo simjui!”

Kusoma sura kamili Isaya 44

Mtazamo Isaya 44:8 katika mazingira