Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 44:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Ni nani Mungu aliye kama mimi?Mwache atangaze na kusema wazi mbele yangu.Nani alitangaza hapo kale mambo ambayo yatatukia?Na watuambie yale ambayo bado kutokea.

Kusoma sura kamili Isaya 44

Mtazamo Isaya 44:7 katika mazingira