Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 43:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Nililipiga jeshi lenye nguvu,jeshi la magari na farasi wa vita,askari na mashujaa wa vita.Niliwaangusha chini wasiweze kuinuka tena,niliwakomesha na kuwazima kama utambi wa taa.Sasa nasema:

Kusoma sura kamili Isaya 43

Mtazamo Isaya 43:17 katika mazingira