Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 42:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitaharibu milima na vilima,na majani yote nitayakausha.Mito ya maji nitaigeuza kuwa nchi kavu,na mabwawa ya maji nitayakausha.

Kusoma sura kamili Isaya 42

Mtazamo Isaya 42:15 katika mazingira