Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 41:25 Biblia Habari Njema (BHN)

“Nimechochea mtu toka kaskazini,naye amekuja;naam, nimemchagua mtu toka mashariki,naye atalitamka jina langu.Yeye atawakanyaga wafalme kama tope,kama vile mfinyanzi apondavyo udongo wake.

Kusoma sura kamili Isaya 41

Mtazamo Isaya 41:25 katika mazingira