Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 38:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati huo, mfalme Hezekia aliugua sana karibu kufa. Ndipo nabii Isaya mwana wa Amozi, akamwendea, akamwambia, “Hivi ndivyo anavyosema Mwenyezi-Mungu: Panga mambo yako sawasawa katika nyumba yako kwa kuwa utakufa, hutapona.”

Kusoma sura kamili Isaya 38

Mtazamo Isaya 38:1 katika mazingira