Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 14:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu atawahurumia tena watu wa Yakobo, atawateua tena Waisraeli. Atawarudisha katika nchi yao wenyewe, na wageni watakuja na kukaa pamoja na watu wa Yakobo.

Kusoma sura kamili Isaya 14

Mtazamo Isaya 14:1 katika mazingira