Pazeni sauti na kuimba kwa furaha,enyi wakazi wa Siyoni,maana aliye mkuu miongoni mwenundiye Mungu, Mtakatifu wa Israeli.”