Agano la Kale

Agano Jipya

Hosea 9:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema:“Nilipowakuta Waisraeliwalikuwa kama zabibu jangwani.Nilipowaona wazee wenuwalikuwa bora kama tini za kwanza.Lakini mara walipofika huko Baal-peori,walijiweka wakfu kuabudu chukizo Baali,wakawa chukizo kama hicho walichokipenda.

Kusoma sura kamili Hosea 9

Mtazamo Hosea 9:10 katika mazingira