Agano la Kale

Agano Jipya

Hosea 6:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“ ‘Twendeni, tukamrudie Mwenyezi-Mungu!Yeye mwenyewe ameturarua,lakini yeye mwenyewe atatuponya.Yeye mwenyewe ametujeruhi,lakini yeye mwenyewe atatibu majeraha yetu.

Kusoma sura kamili Hosea 6

Mtazamo Hosea 6:1 katika mazingira