Agano la Kale

Agano Jipya

Hesabu 35:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, eneo hilo la malisho litakuwa la mita 900, na litaenea kila upande wa mji, mji wenyewe ukiwa katikati. Eneo hilo litakuwa malisho yao kandokando ya miji yao.

Kusoma sura kamili Hesabu 35

Mtazamo Hesabu 35:5 katika mazingira