Agano la Kale

Agano Jipya

Hesabu 19:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtu atakayeyazoa majivu ya ng'ombe huyo lazima azifue nguo zake, lakini atakuwa najisi hadi jioni. Sharti hili ni la kudumu, na litawahusu Waisraeli na watu wengine watakaoishi pamoja nao.

Kusoma sura kamili Hesabu 19

Mtazamo Hesabu 19:10 katika mazingira