Agano la Kale

Agano Jipya

Ezra 10:18-30 Biblia Habari Njema (BHN)

18. Hii ndiyo orodha ya wanaume waliokuwa wameoa wanawake wa kigeni: Makuhani kulingana na koo zao: Ukoo wa Yeshua, mwana wa Yehosadaki na ndugu zake: Maaseya, Eliezeri, Yaribu na Gedalia.

19. Hao waliahidi kuwaacha wake zao, na wakatoa kondoo dume kuwa sadaka kwa ajili ya hatia yao.

20. Ukoo wa Imeri: Hanani na Zebadia.

21. Ukoo wa Harimu: Maaseya, Elia, Shemaya, Yehieli na Uzia.

22. Ukoo wa Pashuri: Eliehoenai, Maaseya, Ishmaeli, Nethaneli, Yozabadi na Elasa.

23. Walawi: Yozabadi, Shimei, Kelaya (aliyejulikana pia kama Kelita), Pethahia, Yuda na Eliezeri.

24. Kati ya waimbaji: Eliashibu. Walinzi wa hekalu: Shalumu, Telemu na Uri.

25. Watu wengineo wa Israeli: Ukoo wa Paroshi: Ramia, Izia, Malkiya, Miyamini, Eleazari, Malkiya na Benaya.

26. Ukoo wa Elamu: Matania, Zekaria, Yehieli, Abdi, Yeremothi na Elia.

27. Ukoo wa Zatu: Eliehoenai, Eliashibu, Matania, Yeremothi, Zabadi na Aziza.

28. Ukoo wa Bebai: Yehohanani, Hanania, Zabai na Athlai.

29. Ukoo wa Bani: Meshulamu, Maluki, Adaya, Yashubu, Sheali na Yeremothi.

30. Ukoo wa Pahath-moabu: Adna, Kelali, Benaya, Maaseya, Matania, Besaleli, Binui na Manase.

Kusoma sura kamili Ezra 10