Agano la Kale

Agano Jipya

Danieli 2:43 Biblia Habari Njema (BHN)

Hii inamaanisha kwamba watawala wa ufalme huo watachanganyikana kwa kuoana na watu wasio wa taifa lao, lakini hawatafaulu kuchanganyikana kama vile chuma kisivyoweza kuchanganyikana na udongo wa mfinyanzi.

Kusoma sura kamili Danieli 2

Mtazamo Danieli 2:43 katika mazingira