Agano la Kale

Agano Jipya

2 Wafalme 6:33 Biblia Habari Njema (BHN)

Kabla hata hajamaliza kusema, mfalme akafika, akasema, “Msiba huu umetoka kwa Mwenyezi-Mungu! Kwa nini niendelee kumngojea tena?”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6

Mtazamo 2 Wafalme 6:33 katika mazingira