Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 8:53 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa sababu, ee Bwana Mwenyezi-Mungu uliwatenga na watu wa mataifa mengine duniani, ili wawe mali yako – kama ulivyotangaza kwa njia ya Mose, mtumishi wako, wakati ule ulipowatoa babu zetu katika nchi ya Misri.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 8

Mtazamo 1 Wafalme 8:53 katika mazingira