Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 8:38 Biblia Habari Njema (BHN)

tafadhali, usikie maombi yoyote yatakayoombwa na watu wako, Israeli, au yatakayoombwa na mtu yeyote au watu wako wote wa Israeli; kila mtu akijua taabu za moyoni mwake, akikuomba huku akinyosha mikono yake kuelekea kwenye nyumba hii.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 8

Mtazamo 1 Wafalme 8:38 katika mazingira