Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 8:37 Biblia Habari Njema (BHN)

“Iwapo kuna njaa nchini, au tauni, ukame, ugonjwa wa mimea, nzige au viwavi; au ikiwa watu wako wamezingirwa na adui zao katika mji wao wowote ule; ikiwa kuna pigo lolote au ugonjwa wowote,

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 8

Mtazamo 1 Wafalme 8:37 katika mazingira