Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 7:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Nyumba yake ya kukaa mwenyewe, iliyokuwa nyuma ya Ukumbi wa Hukumu, ilikuwa imejengwa kama zile nyingine. Solomoni pia alijenga nyumba kama ukumbi huo kwa ajili ya binti Farao, ambaye alikuwa amemwoa.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 7

Mtazamo 1 Wafalme 7:8 katika mazingira