Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 22:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha Mikaya akasema, “Haya sikia neno la Mwenyezi-Mungu: Nilimwona Mwenyezi-Mungu ameketi katika kiti chake cha enzi, na jeshi lote la mbinguni limesimama kando yake, upande wake wa kulia na wa kushoto;

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 22

Mtazamo 1 Wafalme 22:19 katika mazingira