Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 22:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Hapo, mfalme wa Israeli akamwambia Yehoshafati, “Sikukuambia kamwe hatatabiri jema juu yangu ila mabaya tu?”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 22

Mtazamo 1 Wafalme 22:18 katika mazingira