Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 20:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Naye Ahabu akauliza, “Kwa msaada wa nani?” Nabii akasema, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Kwa msaada wa vijana wanaotumikia jeshi chini ya wakuu wa wilaya.’” Naye mfalme akauliza, “Ni nani atakayeanza kupigana?” Nabii akajibu, “Wewe!”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 20

Mtazamo 1 Wafalme 20:14 katika mazingira