Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 20:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Ben-hadadi alipokea ujumbe huu wa Ahabu wakati yeye na wafalme waliomwunga mkono walipokuwa mahemani mwao wanakunywa. Basi, akayaweka majeshi yake katika hali ya tahadhari, kuushambulia mji.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 20

Mtazamo 1 Wafalme 20:12 katika mazingira