Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 2:27 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, mfalme Solomoni akamfukuza Abiathari, asiwe kuhani wa Mwenyezi-Mungu; hivyo likatimia neno alilosema Mwenyezi-Mungu huko Shilo, juu ya Eli na ukoo wake.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 2

Mtazamo 1 Wafalme 2:27 katika mazingira