Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 2:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Mfalme Solomoni akamwambia kuhani Abiathari, “Ondoka uende shambani kwako, huko Anathothi; unastahili kufa wewe! Lakini sasa, sitakuua kwa sababu ulilishughulikia sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu ulipokuwa na baba yangu Daudi, ukateswa pamoja naye.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 2

Mtazamo 1 Wafalme 2:26 katika mazingira