Agano la Kale

Agano Jipya

1 Wafalme 2:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Bathsheba akasema, “Nina ombi dogo tafadhali ulikubali, na ninakuomba usinikatalie.” Mfalme akamwambia, “Sema ombi lako mama yangu, kwa sababu sitakukatalia.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 2

Mtazamo 1 Wafalme 2:20 katika mazingira